UCHAWI WA KISAGARA EPISODE 13: MAPENZI, HOFU NA SIRI ZINAZOTISHA!
Kama umekuwa ukifuatilia mfululizo wa tamthilia ya Uchawi wa Kisagara, basi huwezi kuikosa Episode 13 – sehemu inayokuja na msisimko mpya, uhusiano tata, na nguvu za giza zinazotikisa kijiji!
Katika episode hii ya kipekee, tunashuhudia mapenzi yanayozaliwa kati ya maadui, ugomvi wa kifamilia unaochochewa na uchawi, na siri nzito zinazofichuliwa kwa mara ya kwanza. Kila tukio linazidi kuwa zito, huku wasanii wetu wakifanya kile ambacho hakuna aliyetarajia.
Wasanii wanaong’arisha episode hii ni:
Sipendeki Sungusungu – anayechukua nafasi ya kucheza mwanamke, mchawi ,na mshawishi wa mapenzi kichawi
Bunga Bunga – Anashika nafasi ya Mzee anayetumi nguvu. Za kiza na anaogopeka na wanakijiji wote wa msosa !
Faraji – kijana anayesimamia upendo wa kweli katikati ya ushirikina, anaingia katika matatizo
Msenyu – Anashika nafasi ya kuwa mlevi,mwizi ,pia kuwa kama mlevi mwenye hekima
Tamthilia hii imeletwa kwako kwa ubora wa Full HD 1080p, ikijumuisha mchanganyiko wa love, horror, drama na maigizo ya kusisimua yanayogusa maisha halisi.
Tazama sasa kwenye YouTube kwa kuandika: “Uchawi wa Kisagara Episode 13” – Usisahau ku-subscribe, kushare, na kuacha maoni yako!






