RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA MUIGIZAJI MAARUFU IDRIS ELBA NCHINI UINGEREZA
byMY MEDIA DIGITAL-
0
London, Uingereza – Aprili 9, 2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na muigizaji mashuhuri wa kimataifa, Idris Elba, katika jiji la London, Uingereza.